Ndesamburo Afariki Dunia.In Kitaifa Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Phillemon Ndesamburo Amefariki Dunia mapema leo hii katika hospitali ya KCMC Moshi. Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa amethibitisha. 0 Share Share Tweet Previous Post Waziri Mkuu wa India Narendra Modi anaelekea nchini Ujerumani, katika ziara inayolenga kuvutia wawekezaji na kuinadi biashara ya nchi yake. Next Post Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshutuko mkubwa kifo cha Muasisi wa chama hicho na mbunge wa mstaafu wa jimbo la Moshi PHILIMON NDESAMBURO mwenye umri wa miaka(84). contributor contributor Join Our Newsletter! Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address. Leave this field empty if you're human: You may also read!JUMLA YA WATU 2249 VISIWA VYA MULEBA WAPATIWA ELIMU YA UGONJWA WA MARBURG . March 31, 2023 3 0 CommentsBy: contributor contributor Baadhi ya Watalaam wa Afya kutoka Wizara ya Afya wakitoa Elimu katika kisiwa Cha Rushonga kilichopo ndani ya ziwaRead More...MAANDALIZI DIRA YA MAENDELEO 2050 YAANZA March 31, 2023 1 0 CommentsBy: contributor contributor SERIKALI imeanza mchakato Wa kuandaa Dira Mpya ya Maendeleo 2050 ambapo wadau wote katika maeneo yao wametakiwa kushiriki kikamilifuRead More...Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka. March 24, 2023 42 0 CommentsBy: contributor contributor Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwaRead More... Leave a reply: Cancel ReplyYour email address will not be published. Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.