Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Phillemon Ndesamburo Amefariki Dunia mapema leo hii katika hospitali ya KCMC Moshi.
Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa amethibitisha.