Papa Francis atoa wito na kukataa ushabiki ili kuimarisha maridhiano na waislamu na kuwaunga mkono wakristo wachache nchini Misri.

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amekataa ushabiki na kutoa wito wa upendo katika misa iliyofurahiwa na umati

Read More...

(TLS) kumburuza Mahakamani Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam, PAUL MAKONDA.

BARAZA la Uongozi la Chama cha wanasheria nchini Tanganyika law Society (TLS) ,linatarajia kumwandikia barua Mkurugenzi wa mashitaka nchini

Read More...

Mradi wa kuimarisha elimu ya waalimu wenye thamani ya Bil.83 wazinduliwa.

WIZARA ya Elimu, Sayanasi, Teknolojia na Ufundi imefanya uzinduzi wa mradi wa kuimarisha elimu ya waalimu, wenye Thamani ya

Read More...

Rais Magufuli amuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi kutoa kibali cha ujenzi wa kituo cha Uchunguzi wa Maradhi.

Rais John Magufuli amemuagiza Mkurugenzi wa Manisapaa ya Moshi kutoa kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Uchunguzi wa maradhi

Read More...

Marekani iko Tayari kwa Mzungumzo na Korea kaskazini.

Marekani iko tayari kwa mazungumzo na Korea Kaskazini yenye lengo la kuondoa zana za nuklia kutoka eneo hilo, kwa

Read More...

Watu zaidi ya wawili wamefariki kutokana na ugonjwa usiojulikana nchini Liberia.

Watu wawili zaidi wamefariki kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao uliwaambukiza watu waliohudhuria mazishi mapema wiki hii katika kaunti ya

Read More...

Watu Takribani 29 wauawa Mashariki mwa DRC.

Takribani watu 29 wameuawa katika siku tatu za ghasia kati ya makundi yanayomiliki silaha katika eneo lenye utovu wa

Read More...

Uongozi wa shule za msingi ukombozi na Engosengiu waishukuru halimashauri ya Jiji la Arusha kwa kuweza kutatua changamoto zilizokua zikiwakabili.

Uongozi na wanafunzi wa shule za msingi ukombozi na Ongosengiu zilizopo kata ya sinoni mkoani Arusha, zimeishukuru halmashauri  ya

Read More...

Bunge latangaza nafasi za ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka CHADEMA.

BUNGE limetangaza kuwa, uchaguzi mdogo wa kupata wawakilishi wawili wa nafasi ya ubunge kwa Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

Read More...

Rais Mgufuli aagiza Watumishi 9,932 waliogushi vyeti waondolewe mara moja sambamba na kukatwa mishahara yao.

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.JOHN MAGUFULI, amepokea taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi

Read More...

Mobile Sliding Menu