Yahaya Mohamed kuondoka rasmi usiku wa leo kwa flyrwndair kurejea kwao ghana baada ya kuachana na Azam fc
Nafasi ya Yahaya itajazwa na mchezaji atakayependekezwa na benchi la ufundi kuelekea dirisha dogo la usajili, linalotarajia kuanza Novemba 15 kwenye ligi kuu ya Tanzania bara.
Kwa mujibu wa Afisa habari wa Azam Jafari Idd amesema wanafanya hivyo ili kuimarisha kikosi cha Azam Fc.
