Nyumba 47 kwa waathirika wa tope

In Kitaifa

Mchakato wa ujenzi wa nyumba 47 za wakazi wa maeneo
yanayozunguka Mgodi Williamson Diamond Ltd, ambao
nyumba na mashamba yao yaliathirika baada ya bwawa la
kuhifadhia tope kuvunjika kingo, umekamilika.


Aidha Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme
ameagiza uongozi wa mgodi huo kukamikisha ujenzi wa bwawa
jipya la maji tope mwezi Julai, na kuanza uzalishaji wa almasi
ambao ulisimama tangu mwezi wa 11 mwaka jana.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu