Lissu akirudishwa wodini
Picha tatu katika taswira tofauti zikimuonyesha Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa mara ya Kwanza kuonekana hadharani akiwa Nairobi anapopata matibabu baada ya kupigwa zaidi ya risasi 30 na wasiojulikana.
Lissu akifurahia Jambo.
Lissu akiwa katika chumba anapopata matibabu.
