PICHA: RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA AGRA JIJINI WAHINGTON MAREKANI

In Kimataifa, Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya Kilimo katika Mkutano wa AGRA uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani

Viongozi mbalimbali pamoja na Wadau walioshiriki kwenye Mkutano wa Agra uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn ambaye ni Mwenyekiti wa Mfuko wa AGRF pamoja na wadau mbalimbali mara baada ya mkutano wa Agra uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekan

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Saba washikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya hakimu.

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu saba kwamauaji ya Hakimu Mkazi wa wilaya ya Handeni mkoani TangaJoachim Mwakyolo

Read More...

Ali Reza Akbari ahukumiwa kifo

Iran imemuhukumu kifo afisa mkuu wa zamani wa ulinzi baada kumkuta na hatia kwa mashtaka ya kuifanyia ujasusi Uingereza,

Read More...

Polisi wakamata usafiri uliotumika kuutupa mwili Chiloba

Miongoni mwa waliokamatwa ni watoto wawili huku mshukiwa mkuuJackton Odhiambo akikiri kumuua mwanamitindo huyo kwa usaidizi wawashirika wawili ambao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu