Picha tatu za ndege iliyobeba mwili wa Mbunge wa vitimaalumu kwa tiketi ya Chadema kuwakilisha kundi la walemavu Mhe.Dr.Elly Marko Macha aliyefariki akiwa uingereza kwenye matibabu,ndege hiyoiliubeba mwili huo kutokea Dodoma na kuushusha katika uwanja wa ndege wakimataifa Kilimanjaro International Airport (KIA).
