Polisi Dar yatangaza kuwasaka Panya Road.

In Kitaifa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limetangaza
Oparesheni kali ya kuwasaka kwa nguvu zote kikundi cha
Wahalifu zaidi 10 waliokuwa na Silaha za Jadi, ambao
walivamia nyumba moja iliyopo Kawe mzimuni kwa kuvunja
milango kisha kupora Fedha, Mali, kujeruhi watu watatu na
kusababisha kifo cha Mtu mmoja aliyetajwa kwa majina ya
Maria Pascal.

Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
ACP William Mkonda amesema tukio hilo limetokea Septemba
14, 2022 majira ya Saa nane na nusu Usiku.


Amesema uhalifu huo ni tukio baya ambapo kila mtanzania
anapaswa kulani Unyama huo ambao hutumiwa na baadhi ya
watu wasiotaka kujipatia kipato chao kwa njia halali.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu