Prof.Makame Mbarawa atadhuria mkutano wa wataalamu mbali mbali barani Africa utakaofanyika Kigali.

In Kitaifa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa  amehudhuria mkutano wa wataalamu mbalimbali Barani Afrika ,utakaofanyika Kigali nchini Rwanda ambapo watajadili masuala ya maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ,husasani katika ukanda wa Afrika Mashariki.Katika mkutano huo, Prof. Mbarawa amemwakilisha Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli ambapo mkutano huo unatakuwa ni wa siku mbili.

Aidha, Prof. Mbarawa ataelezea kwa kina changamoto na mafanikio yaliyofikiwa na Tanzania  ,katika uwekezaji  wa Miundombinu ya Habari na Mawasiliano, Maendeleo ya Sera na Miongozo inayotumika hapa nchini, katika kusimamia sekta hiyo kwa lengo la kukuza uchumi wa nchi na kuiunganisha Tanzania na Mataifa mengine.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu