Rais afungua Jengo la afya ya mama na mtoto CCBRT.

In Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu
Hassan,leo amefungua Majengo ya Huduma za Afya ya Mama
na Mtoto katika Hospitali ya CCBRT Msasani jijini Dar es
Salaam.


Kabla ya Mheshimiwa Rais Samia kuzungumza katika hafla
hiyo,alitanguliwa na Afisa Mtendaji mkuu wa CCBRT Bi
Brenda Masangi,ambaye alitoa taarifa juu ya mradi wa ujenzi
wa jengo la Afya ya Mama na Mtoto la Hospitali hiyo.

Akizungumza katika Hafla hiyo mbali ya mengi aliyoongea pia
Rais Samia amewapongeza na kuwashukuru wadau wote
walichangia kwa namna moja ama nyingine,kufanikisha jengo
hilo kukamilika pamoja na kupatikana kwa vifaa vyake.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu