Rais John Magufuli afanya ziara ya kushitukiza Bandarini Dar es Salaam leo asubuhi. Pamoja na mambo mengine amezipa wiki moja mamlaka zinazohusika kumtafuta mmiliki wa magari ya kubeba wagonjwa yapatayo 50 ambayo yapo bandarini hapo tangu mwaka 2015. Nyaraka zinaonyesha kuwa magari hayo yameagizwa na Ofisi ya Rais
