Rais Samia ashiriki kumbukumbu ya mashujaa Dodoma.

In Kitaifa

Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia
Suluhu Hassan,leo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya
siku ya kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika jiini Dodoma.


Akizugumza katika Maadhimisho hayo yaliyofanyika leo Julai
25 2022,amewaambia watanzania ataendelea kuenzi mawazo ya
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na uamuzi wa Hayati
Dk John Magufuli,wa kuhamishia Serikali Dodoma akisema
kuwa hakuna kurudi nyuma.

Kwa upande mwingine Rais Samia amewakumbusha watanzania
kuendelea kuchanja chanjo ya Uviko 19,na pia kujiandikisha
kwenye zoezi la Sensa ya watu na makazi ambayo itafanyika
Agost 23.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

TEMBO WAUA TENA KIGONIGONI

Aliyekuwa mwananchi wa Kijiji cha Kigonigoni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Yonael Kaindu Maarufu kama Mzembi, ameshambuliwa na Kuuawa na

Read More...

Waziri wa zamani wa Msumbiji ahukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya ufisadi.

Msumbiji Alhamisi imemuhukumu waziri wa zamani kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya ufisadi, ikiwa ni hukumu kali

Read More...

Serikali kujenga Vituo Atamizi vya kulea ujuzi.

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira naWenye Ulemavu Prof Joyce Ndalichako amesema kwa mwakawa fedha 2022/23, serikali inatarajia kujenga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu