Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima nchini India.

In Kitaifa

Leo jumanne Oktoba 10, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India.

Rais Samia ni Mwanamke wa kwanza kutunukiwa Shahada hiyo ya Heshima ya Udaktari na Chuo hicho.

Miongoni mwa Viongozi waliowahi kutunukiwa Shahada hiyo ya Heshima ya Udaktari ni Rais Vladmir Putin wa Russia na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan Hayati Shinzo Abe.

Hii ni Shahada ya Pili ya Heshima ya Udaktari kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo ya kwanza alitunukiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Sal

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu