Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dk John Magufuli amehutubia katika kikao cha 18 cha wakuu wa nchi wa jumuiya ya afrika mshariki ambapo rais Magufuli amesema kuwa dhamira ya kuanzishwa kwa umoja huo na viongozi waanzilishi ilikuwa na dhamira ya kujenga umoja imara.
Hata hivyo raisi magufuli ameelezea mafanikio wakati akiwa mwenyekiti wa umoja huo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara.
Lakini pia raisi magufuli pamoja na raisi museveni wamesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta toka hoima nchini Uganda hadi tanga Tanzania nakuwa bomba hilo ni muhimu kwa Tanzania na Uganda.
