Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto ameahidi kuongeza fedha kwenye idara za serikali zinazokabiliana na uhalifu na waandishi wa habari ilikuwapa nguvu za kufanya uchunguzi.
Tamkohililimekujabaadayamaandamanoyaliyoandaliwanajumuiayawaandishiwahabarikwanchinzima.
Baadayakuuawakwamwandishiwahabarialiyeshindatuzoambaealifanyauchunguziwamiakamingikuhusiananabiasharanamtandaowamadawayakulevya.
Mwandishihuyoalipigwarisasikatikajimbo la Sinola.Hatahivyowaandishiwahabariwamesemahatuahiyohaitoshinahairidhishi.
