Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto ameahidi kuongeza fedha kwenye idara za serikali zinazokabiliana na uhalifu na waandishi wa habari ilikuwapa nguvu za kufanya uchunguzi.

Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto ameahidi kuongeza  fedha kwenye idara za serikali zinazokabiliana na uhalifu na waandishi wa habari ilikuwapa nguvu za kufanya uchunguzi.
Tamkohililimekujabaadayamaandamanoyaliyoandaliwanajumuiayawaandishiwahabarikwanchinzima.
Baadayakuuawakwamwandishiwahabarialiyeshindatuzoambaealifanyauchunguziwamiakamingikuhusiananabiasharanamtandaowamadawayakulevya.
Mwandishihuyoalipigwarisasikatikajimbo la Sinola.Hatahivyowaandishiwahabariwamesemahatuahiyohaitoshinahairidhishi.

Exit mobile version