Raisi wa marekani Donald trump aongela kuhusu mauaji ya George Floyd.

Raisi wa marekani Donald trump aongela kuhusu mauaji ya George Floyd,Baada ya gumzo
linaloendelea duniani sasa kuhusu mauaji ya George Floyd, ambae aliuawa na polisi wane
siku ya jumatatu, ambapo polisi hawa walionekana wakimkandamiza chini wakati mmoja
wao akiwa amepiga magoti shingoni kwake, wakati akiomba na kulia wamuachie kwani
hawezi kupumua dakika chache kabla ya umauti kumfika,


Na raisi wa marekani kupitia ukurasa wake wa twitter alipost na kuandika agizo kwa
wachunguzi wa serikali kufuatilia hili swala na kuhakikisha wauwaji hawa wanafikishwa
mahakamani, na maneno aliyokuwa ameandika ni, ‘at my request the fbi and the
department of justice are already well into an investigation as to the sad and tragic death in
Minnesota of George floyd’


Lakini pia familia yake wameweza kuongea na kuitaka mamlaka husika kuchukua hatua, na
sio kuwasimamisha kazi tu kwani hio sio adhabu tosha kwa wauwaji, ndugu zake hawa ni
mdogo wake Philonise Floyd na binamu yake Tera brown, pata kuwasikiliza kwa maneno yao

Exit mobile version