amhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu ya leo Julai 12.
,2022 imejiunga rasmi kuwa mwanachama wa saba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kupeleka hati za kuridhia makao makuu jijini Arusha, Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Nje Christophe Lutundula aliwasilisha nyaraka hizo kwa Katibu Mkuu wa EAC, Peter Mathuki, ambaye alieleza kuwa maendeleo hayo ni muhimu kwa DR Congo na jumuiya.
Nchi wanachama ziliidhinisha ombi la DR Congo kujiunga na umoja huo mwezi Aprili na bunge la nchi hiyo liliidhinisha uamuzi huo mwezi Juni.