RC mstaafu Mwanajeshi autaka Ubunge.

In Kitaifa


Aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen.(Mst) Emanuel
Maganga baada ya kuustafu Ukuu wa Mkoa wa Kigoma kaamua
kutangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mvomero
Morogoro.


Kabla ya kufanya chochote aliamua kwenda kwa Mama yake
Kijijin Kunkwe kuchukua baraka za kuwania Ubunge na pongezi
ya kusatafu na kazi aliyokua anafanya Kigoma.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Saba washikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya hakimu.

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu saba kwamauaji ya Hakimu Mkazi wa wilaya ya Handeni mkoani TangaJoachim Mwakyolo

Read More...

Ali Reza Akbari ahukumiwa kifo

Iran imemuhukumu kifo afisa mkuu wa zamani wa ulinzi baada kumkuta na hatia kwa mashtaka ya kuifanyia ujasusi Uingereza,

Read More...

Polisi wakamata usafiri uliotumika kuutupa mwili Chiloba

Miongoni mwa waliokamatwa ni watoto wawili huku mshukiwa mkuuJackton Odhiambo akikiri kumuua mwanamitindo huyo kwa usaidizi wawashirika wawili ambao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu