Rika la vijana Jamii ya maasai wilayani monduli mkoani Arusha wametakiwa kulipa kipaumbele suala la kumpatia elimu mototo wa kike pamoja na usimamizi wa rasilimali Ardhi ilikuleta Maendeleo kwa maslahi ya Taifa.
Akizungumza katika sherehe za kuwaaga wazee wa mila wa rika la korianga na kuwaachia uongozi rika la vijana (nyangulo) katika wilaya ya monduli mkoani Arusha ,Mbunge wa jimbo la Monduli Julius Kalanga aliwataka vijana hao kusimamia nafasi hiyo kwa kulipa kipaumbele suala la elimu kwa watoto wa kike kwani familia nyingi zimeonekana kuwa na mwamko mdogo.
Pia katika hatua nyingine aliwataka rikahilo kulindana kusimamia rasilimali ardhi kwani pasipowekwa msimamo thabiti kutasababisha baadhi yao kutonufaikanayo.
Sinyo krokongo ni leigwan analiemaliza muda wake tangu kushika wadhfa mwaka 1998 ambapo alisema wamekuwa na desturi ya kuwasaidia Jamii zinazoshindwa kuwapeleka watoto Wao shule kwa kuwachangia fedha,huku wakipinga vikali suala La ndoa za utotoni.
Rika la vijana Jamii ya maasai wilayani monduli mkoani Arusha wametakiwa kulipa kipaumbele suala la kumpatia elimu motto wa kike pamoja na usimamizi wa rasilimali Ardhi ilikuleta Maendeleo kwa maslahi ya Taifa.
Akizungumza katika sherehe za kuwaaga wazee wa mila wa rika la korianga na kuwaachia uongozi rika la vijana (nyangulo) katika wilaya ya monduli mkoani Arusha ,Mbungewajimbo la Monduli Julius Kalanga aliwataka vijana hao kusimamia nafasi hiyo kwa kulipa kipaumbele suala la elimu kwa watoto wa kike kwani familia nyingi zimeonekana kuwa na mwamko mdogo.