Rika la vijana Jamii ya maasai wilayani monduli mkoani Arusha wametakiwa kulipa kipaumbele suala la kumpatia elimu mototo wa kike pamoja na usimamizi wa rasilimali Ardhi ilikuleta Maendeleo kwa maslahi ya Taifa.

Akizungumza katika sherehe za kuwaaga  wazee wa mila wa rika la korianga  na kuwaachia uongozi rika la vijana (nyangulo) katika wilaya ya monduli mkoani  Arusha ,Mbunge wa jimbo la Monduli Julius Kalanga aliwataka vijana hao kusimamia nafasi hiyo kwa kulipa kipaumbele suala la elimu kwa watoto wa kike kwani familia nyingi zimeonekana kuwa na mwamko mdogo.
Pia katika hatua nyingine aliwataka rikahilo  kulindana kusimamia rasilimali ardhi  kwani pasipowekwa msimamo thabiti  kutasababisha baadhi yao kutonufaikanayo.
Sinyo krokongo ni leigwan analiemaliza muda wake tangu kushika wadhfa mwaka 1998 ambapo alisema wamekuwa na desturi ya kuwasaidia Jamii zinazoshindwa kuwapeleka watoto Wao shule kwa kuwachangia fedha,huku  wakipinga vikali suala La ndoa za utotoni.

Rika la vijana Jamii ya maasai wilayani monduli mkoani Arusha wametakiwa kulipa kipaumbele suala la kumpatia elimu motto wa kike  pamoja na usimamizi wa rasilimali Ardhi ilikuleta Maendeleo kwa maslahi ya Taifa.
Akizungumza katika sherehe za kuwaaga  wazee wa mila wa rika la korianga  na kuwaachia uongozi rika la vijana (nyangulo) katika wilaya ya monduli mkoani  Arusha ,Mbungewajimbo la Monduli Julius Kalanga aliwataka vijana hao kusimamia nafasi hiyo kwa kulipa kipaumbele suala la elimu kwa watoto wa kike kwani familia nyingi zimeonekana kuwa na mwamko mdogo.
Pia katika hatua nyingine aliwataka rikahilo  kulindana kusimamia rasilimali ardhi  kwani pasipowekwa msimamo thabiti  kutasababisha baadhi yao kutonufaikanayo.
Sinyo krokongo ni leigwan analiemaliza muda wake tangu kushika wadhfa mwaka 1998 ambapo alisema wamekuwa na desturi ya kuwasaidia Jamii zinazoshindwa kuwapeleka watoto Wao shule kwa kuwachangia fedha,huku  wakipinga vikali suala La ndoa za utotoni.

Exit mobile version