Ripoti mpya imeonyesha kuwa nchi za Caribbean ni miongoni mwa sehemu zinazoongoza, kwa kuwa na uhalifu mkubwa duniani.

In Kimataifa

Ripoti mpya imeonyesha kuwa nchi za Caribbean ni miongoni mwa sehemu zinazoongoza, kwa kuwa na uhalifu mkubwa duniani.

Benki moja inayohudumia nchi za Amerika ya Kusini, imefanya utafiti na kuhoji wahanga kutoka nchi tano za Bahamas, Trinidad na  Tobago, Bar bados, Jamaica na Surinam.

Katika matokeo yake, imegundua kuwa karibia robo tatu ya ndugu wa waliokufa wanasema kuwa waliwapoteza jamaa zao kwa kuuawa kikatili.

Taarifa hiyo inasema kuwa bastola hutumika zaidi katika mauji hayo ikiwa ni zaidi ya kiwango cha dunia.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Watu 193 wawekwa karantini kisa virusi vya Marburg.

Mganga Mkuu wa serikali Dkt Tumaini Nagu,amesema hakuna kisa kipya kilichoongezeka kuhusu vifo vilivyosababishwa na virusi vya Ugonjwa wa

Read More...

SERIKALI YAFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA HUDUMA ZA HALI YA HEWA

SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi na uchukuzi,isemema kuwa katika kuhakikisha wanakuwa na Taarifa za uhakika za Hali ya hewa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu