Salomon Kalou ashinda tuzo kubwa Ujerumani

Mwanasoka wa Ivory Coast, Salomon Kalou anayeichezea pia Club ya Hertha Berliner katika ligi kuu ya Nchini Ufaransa  ametwaa tuzo ya Duku Film.

Kwa taarifa aliyoiweka kwenye Account yake ya Mtandao wa Instagram kupitia video aliyoipost, Kalou ameshinda tuzo hiyo usiku wa Jumatatuya April 3 mwaka 2017 kwenye tamasha la Berlin International Film Festival.

Kalou akipokea Tuzo hiyo

Kwenye Video hiyo Kalou ameambatanisha na Maneno haya “Without Struggle There Is No Progress #SKLEC.”

HII HAPA NDIYO VIDEO YENYEWE

“Without Struggle There Is No Progress” #SKLEC

A post shared by Salomon Kalou (@salomonkalou) on

Exit mobile version