Selasini aeleza chanzo kifo cha Kaka yake.


Mwanasheria na Mwanasiasa mkongwe nchini Dk Masumbuko
Lamwai, amefariki dunia majira ya saa 6 usiku wa kuamkia leo.
Dk Masumbuko aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Ubungo,
lakini pia aliwahi kuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais.


Na kama hukuwa ukifahamu ni kwamba Dk Masumbuko ni
ndugu na Mbunge wa Rombo kupitia Chadema Joseph Selasini,
amemzungumzia kwa kina Dkt
Masumbuko Lamwai na kusema afya yake ilidhoofika kipindi
cha wiki mbili zilizopita na baadaye akashikwa na Malaria kabla
ya umauti kumfika.

Exit mobile version