Serikali yasitisha umiliki wa kiwanja kisichoendelezwa.

In Kitaifa

Serikali imesitisha umiliki wa hati ya kiwanja No 3 kilichopo
kata ya Makole Mtaa wa Chanduru wilaya ya Dodoma mjini,
baada ya mmiliki wake kushindwa kukiendeleza kiwanja hicho
kwa zaidi ya miaka 33.

Licha hilo pia imebainisha kuwachulia hatua za kisheria baaadhi
ya wamiliki, wanaodaiwa kugushi nyaraka za umilimi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu