Shule za Tumaini Junior na Senior wilaya ya Karatu na Monduli kinara kwa kuwafundisha wanafunzi Elimu za vitendo
Mahafali hayo ni muhimu kwani shule hiyo imeweza kuimarisha taaluma mwaka Hadi mwaka kwa kuwa wana wastani wa ufaulu wa juu kila mwaka na kufaulisha wanafunzi wote kwenda sekondary kwa, asilimia 100
Shule hiyo Ina jumla ya wanafunzi 808 Tangu kuanzishwa, kwake ambapo wavulana ni 396 na wasichana ni 412 kati ya wanafunzi hao wanafunzi wa elimu ya awali ni 200 na elimu ya msingi ni 608
Hata hivyo Waanzilishi wa shule hiyo Modest Bayo akiwa na Light Bayo wamesema kuwa shule hiyo ilipata vusajili ikiwa na jumla ya wanafunzi 17 elimu ya awali mwaka 2006
Hata hivyo mahafali hayo ni 13 na wamehitimu wanafunzi 94
