Shule zakabidhiwa vifaa vya kujikinga na Corona.

In Kitaifa


Shule za sekondari
Dodoma, zimekabidhiwa vifaa mbali mbali vya kujikinga na

Virusi vya Corona ili waweze kusoma huku wakichukua
tahadhari.


Vifaa hivyo vilivyotolewa na naibu waziri wa kazi,vijana na
ajira Anthon Mavunde, ni pamoja na ndoo na sabuni.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Saba washikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya hakimu.

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu saba kwamauaji ya Hakimu Mkazi wa wilaya ya Handeni mkoani TangaJoachim Mwakyolo

Read More...

Ali Reza Akbari ahukumiwa kifo

Iran imemuhukumu kifo afisa mkuu wa zamani wa ulinzi baada kumkuta na hatia kwa mashtaka ya kuifanyia ujasusi Uingereza,

Read More...

Polisi wakamata usafiri uliotumika kuutupa mwili Chiloba

Miongoni mwa waliokamatwa ni watoto wawili huku mshukiwa mkuuJackton Odhiambo akikiri kumuua mwanamitindo huyo kwa usaidizi wawashirika wawili ambao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu