Simba yatia timu Mbeya kamilikamili

In Michezo

Kikosi cha Simba leo kimewasili salama Mbeya baada ya
kuondoka leo Dar es Salaam.

Simba ilikwea pipa asubuhi ili kuwahi kufanya maandalizi dhidi
ya mechi mbili zitakazopigwa Mbeya ambapo itaanza Jumatano,
Juni 24 dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine.

 Simba itawafuata Mbeya City ikiwa na kumbukumbu za
ushindi wa mabao 3-0 mbele ya Mwadui FC kwenye mchezo
wao waliocheza Uwanja wa Taifa huku Mbeya City ikiwa na
kumbukukumbu ya kufungwa bao 1-0 na Alliance.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu