Siri nzito yafichuka Zimbabwe.

In Kimataifa

Ni siri iliyofichuka nchini Zimbabwe kwa miaka mingi kwamba Emmerson Mnangagwa alitaka kumrithi Robert Mugabe kama rais.

Na Bwana Mugabe anaonekana kuwa amekuwa akichezea hisia zake – na amekuwa akimpandisha vyeo katika chama tawala cha Zanu-PF party na hata katika serikali, jambo lililozusha uvumi kwamba Bwana Mnangagwa ”ndie mrithi wake” lakini baadaye alimshusha cheo huenda baada ya kuonyesha azma yake wazi pengine kupita kiasi.

Lakini baada ya kufutwa kazi, inaonekana kana kwamba subra ya Mnangagwa anayefahamika kwa jina maarufu la “mamba” ilikwisha.

Baada ya kufutwa kazi na Bwana Mugabe kumpuuza na kumshutumu hadharani kwa “usaliti”, wafuasi wake katika jeshi waliingilia kati kwa niaba yake.

Lakini yeyote mwenye matumaini kwamba urais wa Mnangagwa utamaliza ukiukaji wa haki za binadamu nchini Zimbabwe huenda anajitanganya .

Wakosoaji wake wanasema kuwa Kiongozi huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 71- ana damu mikononi mwake.

uhusiano wake na Kongo

Bwana Mnangagwa alizaliwa katika jimbo la Zvishavane na anatoka katika kabila dogo ambalo ni sehemu ya jamii ya Washona

Watu wa Kabla la Karanga ni kabila kubwa katika jamii ya Washona na baadhi wanahisi ni wakati wao sasa wa kuingia madarakani, kufuatia miaka 37 ya utawala wa raia Mugabe anayetoka katika kabila la Zezuru

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Watu 193 wawekwa karantini kisa virusi vya Marburg.

Mganga Mkuu wa serikali Dkt Tumaini Nagu,amesema hakuna kisa kipya kilichoongezeka kuhusu vifo vilivyosababishwa na virusi vya Ugonjwa wa

Read More...

SERIKALI YAFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA HUDUMA ZA HALI YA HEWA

SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi na uchukuzi,isemema kuwa katika kuhakikisha wanakuwa na Taarifa za uhakika za Hali ya hewa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu