Bwana Daniel Mlangu mwenyekiti wa Soko la Vetenari lililopo Wilayani Temeke jijini Dar
Es salaam amesema baada ya soko hilo kuungua moto mwezi uliopita,Halmashauri ya wilaya
Hiyo ya Temeke, imeanza ujenzi ili kuhakikisha linarudi
katika hali yake ya kawaida.
.