Takukuru Dodoma wanaongea na wanahabari.

In Kitaifa


Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa jijini Dodoma
TAKUKURU, leo wamezungumza na wanahabari na kutoa
taarifa mbali mbali za matukio ya Rushwa jijini humo.


Moja ya taarifa iliyotolewa na mkuu wa taasisi hiyo mkoani
humo ndugu Sostheness Kibwengo, ni wananchi 13 kurudishiwa
mashamba yenye ukubwa wa hekari thelasini na nyumba mbili
zilizokuwa zimechukuliwa kinyemela na bwana Nelson Ndalu

aliyekuwa amewakopesha fedha kwa riba kubwa kinyume na
taratibu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu