Takukuru Dodoma watoa kauli kuhusu mbunge kibajaji.

In Kitaifa

Kufuatia kuwepo kwa taarifa za TAKUKURU mkoani Dodoma kumshikilia mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livinstone Lusinde Kibabaji, leo wamezungumzia swala hilo.

Kwa uzuri Mtaa wa Mastory tumemvutia waya  Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoa wa Dodoma ndugu Sosthenes Kibwengo, na kusema ni kweli jana walimhoji ndugu Lusinde kwa saa kadhaa na kumwachia.

Ni sababu gani hasa zilizosababisha ndugu Lusinde kuhojiwa msikie hapa Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani Dodoma Sosthenes Kibwengo anafunguka.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu