Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Tanzania
TAKUKURU, leo imeutaarifu umma kuwa imewaita wabunge
69 wa cha macha Chadema waliopo chamani na wale waliotoka,
ili kuwahoji juu ya sakata la Kuwepo kwa vitendo vya Rushwa
na matumizi mabaya ya fedha ndani ya chama hicho.
Kwa uzuri Antenna tumeinasa taarifa hiyo ya TAKUKURU toka
makao makuu Dodoma,kuwaita wabunge hao kwenda kuhojiwa.
