Tanzania kufanya upandikizaji wa Ini baada ya miaka 2.

In Kitaifa

Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu,amesema kuwa baada ya
kipindi cha miaka 2 kutoka sasa,Tanzania itakuwa na uwezo wa
kufanya upandikizaji wa Ini kwa wagonjwa,kutoka na jitihadi
zinazoendelea kufanywa na serikali katika kuhakikisha huduma
za Afya za kibingwa zinapatikana hapa nchini.

Waziri Ummy Mwalimu ameyasema hayo katika mkutano wa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bi Zuhura Yunus na
wanahabari,akielezea ziara ya Rias Dkt Samia katika mataifa ya
Qatar na India.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu