Tanzania yatajwa kuwa nchi kinara wa uzalishaji na uuzaji wa maharage barani Afrika.

Tanzania inatajwa kuwa nchi kinara wa uzalishaji na uuzaji wa maharage barani Afrika.
Ikiwa na eneo la ukubwa wa hekta Milioni 1 nukta 3 za mashamba ya maharage, Tanzania inalisha mamilioni ya watu barani Afrika.
Taarifa hiyo imeelezwa kuwa mkoani Kagera ndio mkoa unaoongoza kwa uzalishaji wa maharage hapa nchini.
Mkoa mwingine uliotajwa kuwa mstari wa mbele katika uzalishaji wa maharage nchini ni mkoa wa Kigoma.

Exit mobile version