Tazama Video ya Wimbo wa Msanii Mpya Tanzania mwenye Miaka 10 ni Hatari

Mohammed Omary a.k.a MUDY MOKO mwenye Umri wa miaka kumi ( 10 ) ni mwanafunzi wa darasa la nne shule ya msingi tabata. Karibu kutazama Video yake ya kwanza ya SINGELI iitwayo MWANENU iliyofanywa na Eric Mlindima chini ya KWETU STUDIOS.

 

Exit mobile version