Kumekuwepo na gumzo mitandaoni kwamba Mbunge wa Kibamba kwa Tikect ya CHADEMA John Mnyikaanahamia kwenye Chama cha Mapinduzi CCM hivi karibuni na sasa gumzo linaendelea.
Kada wa CCM Jerry Muro kapost picha ya John Mnyika na Rais Magufuli na kuandika “Wanakuita mvulana, basi nenda kwa Baba ukadeke kidogo kule ulikua unakomazwa tu, #safarimojamatata“
Radio 5 Fm zinaendelea kumtafuta John Mnyika ili kupata ya upande wake kuhusu taarifa hizi
Fununu hizi zimekua zikienea toka wiki iliyopita ambapo kwenye Twitter ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kuliandikwa yafuatayo kama inavyoonekana hapa chini
