Tetesi za Soka Ulaya…

In Kimataifa, Michezo


Kocha wa Tottenham Jose Mourinho ana matumaini ya kuipiku
Manchester United kumsajili kiungo wa RB Leipzig Emil
Forsberg, 28. (Express)
Real Madrid wanaamini wataweza kumsajili mshambuliaji wa
Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah, 27 kwa
kitita cha pauni milioni 126 baada ya kuachana na mshambuliaji
Gareth Bale, 30 (El Desmarque, via Express)
Manchester United wanajiandaa kumuuza kiungo Jesse Lingard,
27, na Andreas Pereira, 24, kwa ajili ya kugharamia uhamisho
wa kiungo Jack Grealish,24. (Express)
Arsenal imejaribu kuanzisha tena mazungumzo na Pierre-
Emerick Aubameyang, mkataba wake wa sasa wa mshahara wa
pauni 2000,000 unatarajiwa kwisha mwishoni mwa msimu
ujao.(Times, subscription required)

Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wamekuwa katika
mawasiliano na wawakilishi wa mshambuliaji wa Liverpool
Roberto Firmino,28. (Echo)
Katika hatua nyingine, Liverpool wako kwenye mazungumzo na
RB Leipzig na mshambuliaji wa Ujerumani Timo Werner, 23.
(Express)

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu