TFDA Arusha watoa sababu za kuchoma Vifaranga.

In Kitaifa

Jana Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA tawi la Arusha, imeviteketeza vifaranga elfu 6 mia 400 vya kuku kutoka nchini Kenya.

TFDA Arusha imechukua uamuzi huo wa kutekeeza vifaranga hao, licha ya mfanyabiashara Mary Matia kuomba kuvirudisha alikovinunua.

Ofisa kutoka TFDA Obeid Nyasebwa amesema wamechukua hatua hiyo ya kuviteketeza vifaranga hivyo, kwa kuwa hawajui usalama wake kutokana na kuwepo kwa taarifa za ugonjwa wa mafua ya ndege.

 

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu