Siku chache baada ya billionea namba moja barani Afrika Aliko Dangote, kulalamika kuwa sera za Serikali ya Tanzania zinatishia wawekezaji wengi.
Malalamiko hayo ya Dangote yanatokana na sheria mpya ya usimamizi wa rasilimali za Taifa iliyopitishwa inayopendekeza Serikali kuwa na walau 16% kwenye miradi iliyowekezwa kwenye sekta ya madini.
Kituo cha uwekezaji Tanzania TIC wamekutana na waandishi ili kutoa ufafanuzi kuhusu suala hilo.
