Trump na Makamu wake wapimwa corona tena

Rais wa Marekani Donald Trump na Makamu wake Mike Pence
wamelazimika kupima tena corona baada ya Mwanajeshi
anayefanya kazi Ikulu kubainika ana corona, Trump na Pence
wote ni wazima, hawajakutwa na virusi hivyo.

Exit mobile version