Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC,imetangaza tarehe na utaratibu wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020. Tangazo hilo limetolewa hii leo na mwenyekiti wa tume hiyo Jaji mstaafu Semistocles Kaijage,na kusema kuwa uchaguzi huo utafanyika siku ya juma tano tarehe 28 mwezi wa 10 2020