Uchaguzi mkuu kutafanyika siku ya Jumatano.


Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC,imetangaza tarehe na utaratibu
wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020.
Tangazo hilo limetolewa hii leo na mwenyekiti wa tume hiyo
Jaji mstaafu Semistocles Kaijage,na kusema kuwa uchaguzi huo
utafanyika siku ya juma tano tarehe 28 mwezi wa 10 2020


Exit mobile version