Leo taarifa kutoka visiwani Zanzibar ni kuhusiana na kurejea
kwa suala zima la utalii kama awali huku baadhi ya shughuli
kama michezo na parties na matamasha zikiziwa
zimesimamishwa juu ya janga la virusi vya corona.
Hayo yamebainishwa na waziri wa Habari, Utalii Sanaa na
mambo ya kale Mh Mahmood Kombo tangu kuachiwa kwa ishu
za kitalii majuzi ya tarehe 6 june 2020.