Katika taifa la Pennsylvania kuna kabila la Ameshi,ambalo hili
linautamaduni wa tofauti kidogo pale wanaume wanapoowa.
Utamaduni huo ni kwamba mwanaume aliyeoa katika taifa hili
hutambuliwa kwa kufuga ndevu na sio kuvaa pete ya ndoa.
Na utaratibu ni kwamba katika harusi hawavalishani pete, bali
mwanaume atatakiwa kufugandevu tu.
Kabila hilo linadai kuwa Biblia ndio inawataka wafanye hivyo
na ushahidi wanasema unapatikana kwenye kitabu cha Walawi
19:27.
