Uturuki yatuma msaada wa vifaa vya matibabu nchini Libya kwa mara ya pili.

In Kimataifa

Uturuki yatuma msaada wa vifaa vya matibabu nchini Libya ikiwa na msaada wa pili nchini humo kutoka Uturuki tangua kuanza kwa janga la virusi vya corona.

Katika juhudi za kupambana na maambukizi ya virusi vya corona, Uturuki imetuma msaada wa vifaa vya matibabu nchini Libya.

Msaada huo umetolewa na wizata ya afya na kitengo kinachohuiska na matukio ya dharula.

Vifaa hivyo ni kwa ajili ya kurahisha kazi za madaktari katika kukabiliana na virusi vya corona.

Wizara inayoongozwa DR. Tewfik Hireysha amekabidhiwa vifaa hivyo na kutoka Uturuki ikiwa ni ishara ya ushirikiano kati ya Uturuki na Libya.

Dr. Twfik a ametoa shukrani kwa Uturuki kwa kuikumbuka Libya msharika wake katika janga hili ambalo ni tishio ulimwengu mzima.

Msaada huo kutoka nchini Uturuki ni pamoja na barakoa, mavazi maalumu ya wauguzi na vifaa vingine ambavyo hutumiwa katika kujilinda na maambukizi ya virusi.

Aprili 11 Uturuki ilituma msaada wa vifaa vya matibabu nchini Libya

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu