Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh Gabriel Dakaro ameilekeza
Halmashauri ya jiji la Arusha kuwachukulia hatua vijana ambao
hawajarejesha fedha walizokopa kutoka katika mfuko maalum
wa ndani ya Halmashauri ya jiji la Arusha.
Imeelezwa kuwa suala hilo limekwenda kinyume na utaratibu na
wakati huo huo wanawanyima fursa vijana wengine wanaohitaji
mkopo huo.
