Vingozi Olasiti wapeleka mashtaka kwa mkuu wa Wilaya

In Kitaifa

Kijana mmoja mkazi wa Olasiti Jijini Arusha anayefahamika
kwa jina la Israel Daud (26),ambye amefariki dunia kwa
kudaiwa kupigwa Risasi na Askari wa Jeshi la Polisi,kwa kile
kinachodaiwa aliharibu mali ambayo haikuwekwa bayana.


Sasa kufuati tukio hilo baadhi ya viongozi wa mtaa wa eneo
lake, wamefika kwa mkuu wa Wilaya ya Arusha kutoa
malalamiko yao dhidi ya kitendo hicho,huku wakitaka askari
aliyehusika na kitendo hicho achukuliwe hatua.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu