Visima 96 vya Gesi vimeshachimbwa nchini.

Katika maonyesho ya 47 ya biashara nchini maaarufu kama
Sabasaba,mamlaka ya uthibiti wa shughuli za mkondo wa juu
maarufu kama PURA,imezungumzia miradi yake mbalimbali
inayotekeleza ikiwemo mradi wa kubadili gesi kuwa katika hali

ya kimiminika,pia imezungumzia kuhusu hali na idadi ya visima
vilivyokwishachimbwa nchini.


Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi mkuu wa mamlaka hio
Ndugu Mhandisi Charles Sangweni alipotembelea katika banda
hilo.

Exit mobile version